Taja sifa zozote tano za mighani

      

Taja sifa zozote tano za mighani.

  

Answers


KELVIN
? Huzungumzia matukio ya kihistoria na wahusika waliowahi kuishi au wanaoaminiwa waliishi.
? Matendo ya wahusika hupewa sifa ambazo zinapita uwezo wa kawaida wa binadamu.
? Chuku hutumiwa katika utambaji wake.
? Huwa na ukweli wa kihistoria.
? Wanajamii wanaamini matendo ya mighani ni ya kweli.
? Kila jamii ina mighani yake.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 10:33


Next: Eleza maana ya kidahizo au mchapo
Previous: Mighani huwa na umuhimu upi katika jamii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions