Mighani huwa na umuhimu upi katika jamii

      

Mighani huwa na umuhimu upi katika jamii.

  

Answers


KELVIN
Umuhimu wa mighani
? Ni njia moja ya kupitisha au kuitunza historian ya jamii
? Ni njia ya kutukuza matendo ya kishujaa
? Hutumiwa kukuza ujasiri na ukakamavu wa kijamii
? Huburudisha
? Huelimisha wanajamii kuhusu maisha
? Hufunza utamaduni
? Hukuza lugha
? Hufunza maadili ya jamii


kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 10:34


Next: Taja sifa zozote tano za mighani
Previous: Visasili huchangia vipi katika jamii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions