Visasili huchangia vipi katika jamii

      

Visasili huchangia vipi katika jamii.

  

Answers


KELVIN
? Hueleza utaratibu wa kutekeleza desturi kwa mfano, jinsi ya kutoa kafara
? Hueleza chanzo au asili ya tabia au hata watu fulani.
? Huhalalisha baadhi ya mila kwa mfano utoaji wa mahari.
? Husaidia katika kukitisha mizizi tabia fulani ya watu na vitu vinavyowazunguka.
? Huhimiza maadili ya jamii na imani zake.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 10:37


Next: Mighani huwa na umuhimu upi katika jamii
Previous: Nini maana ya shajara?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions