Nini maana ya shajara?

      

Nini maana ya shajara?

  

Answers


KELVIN
Hutumiwa kuelezea maelezo ya matukio au matendo ya mtu au watu fulani kwa mujibu wa kutoka kwake.
Shajara hueleza jinsi matukio hayo yanavyotokea kila siku.
Huwa ni hifadhi ya matukio kwa kutegemea siku hadi siku.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 10:38


Next: Visasili huchangia vipi katika jamii
Previous: Jadili tarihi katika fasihi simulizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions