Jadili tarihi katika fasihi simulizi

      

Jadili tarihi katika fasihi simulizi.

  

Answers


KELVIN
Ni hadithi fupi zinazosimulia matukio muhimu ya kihistoria. Matukio yanaweza kuwa ya huzuni au ya furaha. Lengo lake ni kuikumbusha jamii mambo yaliyotukia. Inawezekana matukio yanayosimuliwa yakawa ya kweli yaani yaliwahi kutokea.
kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 10:39


Next: Nini maana ya shajara?
Previous: Taja vipera vya maigizo vinne

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions