Jadili maana ya malumbano ya utani

      

Jadili maana ya malumbano ya utani.

  

Answers


KELVIN
Ni kufanyiana dhihaka ili kuchekesha watu. Wanajamii wanaweza kutaniana kwa namna ifuatayo:
Utani wa mababu/mabibi na wajukuu.
Utani wa marafiki.
Utani wa ukoo /makabila.
Utani wa rika moja.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 11:24


Next: Maigizo huwa na madhumuni yepi katika jamii
Previous: Jadili sifa za malumbano ya utani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions