1. Mlumbi hutumia lugha kwa njia ya kuvutia na kushawishi hadhira yake
2. Ulumbi hubainika katika miktadha ya kutoa hotuba au katika hali ambapo mtu anahitajika kutetea msimamo wake katika vikao au hata katika mijadala rasmi
3. Hukuza ukakamavu wa kuzungumza hadharani, mlumbi hupenda kuzungumza na hupenda kujisikia akizungumza mbele ya watu.
4. Hutumia vipengele anuwai vya lugha k.v sitiari, maswali ya balagha, methali, nahau, taswira na pia viziada lugha kama vile toni ili kuishawishi hadhira au kutilia mkazo wazo fulani na kutetea misimamo yao, hutumia lugha kutegemea muktadha na hadhira yake.
5. Katika baadhi ya jamii, walumbi walitumika kuzungumza kwa niaba ya viongozi kama maehifu, wanaoomba posa au kwa niaba ya ukoo
kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 11:29
- Taja aina mbili za ulumbi(Solved)
Taja aina mbili za ulumbi.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Malumbano ya utani huchangia umuhimu gani katika jamii(Solved)
Malumbano ya utani huchangia umuhimu gani katika jamii.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Jadili sifa za malumbano ya utani(Solved)
Jadili sifa za malumbano ya utani.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Jadili maana ya malumbano ya utani(Solved)
Jadili maana ya malumbano ya utani.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Maigizo huwa na madhumuni yepi katika jamii(Solved)
Maigizo huwa na madhumuni yepi katika jamii
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Taja sifa zozote tano za maigizo(Solved)
Taja sifa zozote tano za maigizo.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Taja vipera vya maigizo vinne(Solved)
Taja vipera vya maigizo vinne
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Jadili tarihi katika fasihi simulizi(Solved)
Jadili tarihi katika fasihi simulizi.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Nini maana ya shajara?(Solved)
Nini maana ya shajara?
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Visasili huchangia vipi katika jamii(Solved)
Visasili huchangia vipi katika jamii.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Mighani huwa na umuhimu upi katika jamii(Solved)
Mighani huwa na umuhimu upi katika jamii.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Taja sifa zozote tano za mighani(Solved)
Taja sifa zozote tano za mighani.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Eleza maana ya kidahizo au mchapo(Solved)
Eleza maana ya kidahizo au mchapo.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Nini sifa za udhubahi(Solved)
Nini sifa za udhubahi.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Ngano za kichimbakazi au udhubahi ni zipi(Solved)
Ngano za kichimbakazi au udhubahi ni zipi
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Taja sifa nne za mbazi(Solved)
Taja sifa nne za mbazi.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Eleza maana ya mbazi au Vigano(Solved)
Eleza maana ya mbazi au Vigano.
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- taja sifa tano za soga(Solved)
taja sifa tano za soga
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Eleza maana ya soga katika fasihi simulizi(Solved)
Eleza maana ya soga katika fasihi simulizi
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Fafanua maana ya istiara(Solved)
Fafanua maana ya istiara
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)