Jadili nini maana ya mawaidha

      

Jadili nini maana ya mawaidha

  

Answers


KELVIN
Haya ni mazungumzo yanayotolewa yanayompa mtu ushauri au nasaha kuhusu jambo fulani, mawaidha hutoa mwongozo na maelekezo ya kukabiliana na changamoto katika maisha na jinsi ya kuhusiana na wanajamii.



kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 11:36


Next: Hotuba huwa na umuhimu gani?
Previous: Eleza sifa za mawaidha

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions