Eleza madhumuni ya maapizo katika jamii

      

Eleza madhumuni ya maapizo katika jamii.

  

Answers


kelvin
1. Kimsingi, maapizo hutumiwa kama nyenzo ya kawaonya wanajamii dhidi ya matendo hasi
2. Hutambulisha jamii, kila jamii ina namna yake ya kuapiza, na mitindo tofauti ya kutoa maapizo.
3. Hukuza umoja katika jamii, kuweka na kaida au miiko sawa huwafanya watu kujihisi kuwa kitu kimoja.
4. Huadilisha, wanajamii hujifunza kutenda mema ili kuepuka laana.

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:03


Next: Eleza nini maana ya soga
Previous: Andika mifano ya maapizo katika miktadha ifuatayo 1.dini 2.kijiji 3.familia 4.darasani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions