Andika mifano ya maapizo katika miktadha ifuatayo 1.dini 2.kijiji 3.familia 4.darasani

      

Andika mifano ya maapizo katika miktadha ifuatayo
1.dini
2.kijiji
3.familia
4.darasani

  

Answers


kelvin
) Dini- kwa dharau uliomwonyesha mtumishi wa jalali na asikujalie mema uishipo duniani humu
b) Familia-yule atakayepuuza amri zangu kama kicwa cha familia hii, asiweze kukuza familia yake mwenyewe.
c) Kijiji –aliyeiba matunda shambani mwangu, na matunda hayo yawe mwisho kuyala, atambae njaa mpaka atakapokabiliana na ziraili wake.
d) Darasani-aliyeniibia kalamu zangu na asipite mtihani wake wa mwisho wa mwaka.

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:05


Next: Eleza madhumuni ya maapizo katika jamii
Previous: Taja sifa zozote tano za ngomezi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions