Taja sifa zozote tano za ngomezi

      

Taja sifa zozote tano za ngomezi.

  

Answers


kelvin
• Ujumbe huwa umefichika ile hali ya midundo na mapigo ya ngoma.
• Mapigo na midundo hii hufuata toni na wizani (ridhumu) kwa mujibu wa lugha ya wahusika au jamii husika.
• Ujumbe huweza kueleweka na kutafsiriwa na wanajamii au hadhira iliyonuiwa. Hulenga hadhira teule.
• Kila utaratibu wa ngoma hubainisha suala tofauti na ula mwingine
Kutegemea mapigo huweza kutofautisha baina ya habari za kutangaza hatari ya vita, harusi, au kifo cha kiongozi.
• Huweza kuwasilisha ujmbe wa dharura kwa njia ya haraka na ambayo si ghali ikilinganishwa na njia zingine.
• Ngomezi huongozwa na watu teule katika jamii ili kuhakikisha kuwa hakuna kutuma ujumbe unapotosha au kuwasilishwa visivyo.
• Ngomezi vilevile hutolewa wakati maalum mfano vita au vifo kitokeapo.


kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:08


Next: Andika mifano ya maapizo katika miktadha ifuatayo 1.dini 2.kijiji 3.familia 4.darasani
Previous: taja udhaifu unaodhihirishwa na ngomezi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions