taja udhaifu unaodhihirishwa na ngomezi

      

taja udhaifu unaodhihirishwa na ngomezi

  

Answers


kelvin
• Si kila mtu katika jamii atapata kutafsiri ujumbe vyema.
• Ngoma pia husikika kwa idadi ndogo tu ya watu wanaoishi pengine katika kijiji kimoja.
• Mapigo na midundo yanaweza kuhitilifiana na hivyo kuwasilisha ujumbe amboa haukukusudiwa.
• Utanzu huu haujachunguzwa kwa kina na huenda ukapotea bila kuacha kumbukumbu ridhishi endapo utafiti hautaendelezwa.
• Hubagua wageni wa jamii husika na vilevile wasio na uwezo wa kusikia

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:09


Next: Taja sifa zozote tano za ngomezi
Previous: Jadili nini maana ya ushairi simulizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions