Jadili nini maana ya ushairi simulizi

      

Jadili nini maana ya ushairi simulizi.

  

Answers


kelvin
Ushairi simulizi ni utanzu unaojumuisha tungo zote zenye mapigo ya kimuziki, mawazo, hisia na hoja katika utanzu huu huwasilishwa kwa njia ya mdomo kutumia lugha ya mkato yenye mpangilio maalumu wa maneno katika mishororo. Ushairi simulizi huimbwa, hughaniwa au hukaririwa ni muhimu kutaja hapa kuwa ushairi simulizi hutofautiana na mashairi ambayo huandikwa kwa lengo la kuwasilisha mbele ya hadhiri katika mashindano ya tamasha za muziki au yanayowasilishwa katika hasia maalumu.
kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:10


Next: taja udhaifu unaodhihirishwa na ngomezi
Previous: Ushairi simulizi una sifa zipi?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions