Ushairi simulizi hufungamana na shughuli au muktadha maalumu mathalani nyimbo hufungamana na shughuli tofauti tofauti.Taja mifano minne

Ushairi simulizi hufungamana na shughuli au muktadha maalumu mathalani nyimbo hufungamana na shughuli tofauti tofauti.Taja mifano minne

Answers

kelvin
i) Hodiya-nyimbo za kazi.
ii) Kimai-nyimbo za uvuvi na shuguli za majini.
iii) Mbolezi-nyimbo za kuomboleza/matanga.
iv) Wawe-nyimbo za kilimo.

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:13

Next: Ushairi simulizi una sifa zipi?
Previous: Ushairi simulizi waweza kuiainishwa kutumimia vigezo tofauti. Fafanua baadhi ya vigezo vinavyoweza tumika

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index

Exams With Marking Schemes

Related Questions