Fafanua maana ya nyimbo

      

Fafanua maana ya nyimbo.

  

Answers


kelvin
Nyimbo ni tungo za kishairi zenye mahadhi ya kupanda na kushuka kwa sauti, muwala na mapigo ya kimuziki na huwasilishwa kwa kuimbwa, nyimbo hutambuliwa kwa sifa tatu;
i) Huwepo kwa hadhira inayotumbuizwa
ii) Muziki unaoimbwa kwa sauti
iii) Matumizi ya ala

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:18


Next: Taja na ueleze baadhi ya umuhimu wa ushairi simulizi
Previous: Orodhesha sifa bayana za nyimbo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions