Eleze sifa nne za bembelezi

      

Eleze sifa nne za bembelezi.

  

Answers


kelvin
1. Bembea huimbwa kwa utaatibu kwa sauti na mahadhi ya chini.
2. Huimbwa na wazazi au walezi wa watoto kuwaliwaza na kuwabembeleza watoto walale.
3. Huwa fupi.
4. Bembea hutofautiana kutoka jamii moja hadi nyingine kutokana na thamani za jamii hiyo.
5. Huimbwa kwa kurudiarudia maneno au kibwagizo wakati mwingine hata nyimbo mzima huimbwa kwa kurudiwarudiwa.
6. Hutumia lugha shawishi na wakati mwingine hutolewa ahadi za kumnunulia mtoto zawadi.
7. Aghalabu zinapoimbwa, mtoto huwa amebebwa kwa mbeleko na mwimbaji kutoa mapigo ya kumpapasa.

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:24


Next: Nyimbo huwa na malengo gani katika jamii?
Previous: Bembelezi huwa na umuhimu gani katika jamii?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions