Mbolezi huwa na majukumu gani katika jamii

      

Mbolezi huwa na majukumu gani katika jamii.

  

Answers


kelvin
Husawiri msimamo wa jamii kuhusu kifo wapo wanaoamini kuwa kifo husababishwa na maovu au pepo fulani na watakao kashifu kifo, watu wengine hutambua kifo kama mlango wa kuingia katika uzima wa milele (kidini)
2. Kuwaliwaza waliofiwa, na kuwasaidia kukabiliana na uchungu au uzito wa kumpoteza mpendwa wao.
3. Hutoa wasifu wa aliyekufa
4. Ni njia ya kutakasa moyo na hisia za aliyefiwa, aliyefiwa huweza kutumia mbolezi kutoa hisia zake za huzuni kwa njia hii, anaweza kupunguza uzito wa kumpoteza mwenzake.

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:30


Next: Eleza maana ya nyimbo mbolezi kisha utolee sifa zake nne
Previous: Eleza maana ya nyiso

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions