Eleza maana ya nyiso

      

Eleza maana ya nyiso.

  

Answers


kelvin
Nyiso ni nyimbo zinazoimbwa jandoni(wavulana ) na unyagoni (kwa wasichana ) kila jamii hata hivyo ina desturi zake zinazozingatiwa kama kigezo cha kuvusha vijana kutoka utotoni na kuingia utu uzima.
kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:31


Next: Mbolezi huwa na majukumu gani katika jamii
Previous: Nyimbo za nyiso zina sifa zipi?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions