Ni madhumuni gani yanayonuwiwa wakati nyiso zinaimbwa?

      

Ni madhumuni gani yanayonuwiwa wakati nyiso zinaimbwa?

  

Answers


kelvin
1. Hutumika kuwaondoa kihisia wanaotarajia wanaotahiriwa kuwapa ari ya kuwapa kisu cha ngariba
2. Huwajuza wanaotahiriwa kuhusu majukumu mapya na matarajio ya jamii yao kwao, huwafahamisha kuwa wamevuka na ni muhimu kuwaandaa kiakili kwa majukumu ya utu uzima
3. Huonyesha furaha ya vijana wanaotoka katika utoto na kuingia utu uzima.
4. Huhimiza ujasiri na kukebehi woga.
5. Huhimiza uzalendo na kuonea fahari utamaduni wa jamii, wanaohiriki jandoni hujitambulisha na jamii zao zaidi na hivyo uzalendo huimarika.
6. Nyiso hutoa nasaha kwa vijana, huwafahamisha kuhusu matarajio ya uchungu, matarajio ya utu uzima husa dhidi ya woga na umuhimu wa kuhifadhi siri watakazopewa.
7. Huburudisha waliohudhuria shughuli hii.
8. Huleta umoja miongoni mwa wanajamii, vijana waliotahiriwa wakati mmoja hujitambulisha kama ndugu.
Mfano

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:33


Next: Nyimbo za nyiso zina sifa zipi?
Previous: Fafanua maana ya nyimbo za kisiasa huku ukitoa sifa zake tano

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions