Fafanua maana ya nyimbo za kisiasa huku ukitoa sifa zake tano

      

Fafanua maana ya nyimbo za kisiasa huku ukitoa sifa zake tano.

  

Answers


kelvin
Hizi ni nyimbo ambazo huimbwa katika shuguli au miktadha ya kisiasa.nyimbo za kisiasa huwa na maudhui mapana kama vile mapambano, propaganda, kuzindua, kuhamasisha, kukejeli, kuburudisha, kuhimiza au kutia ari.
Sifa
1. Huwa na maudhui mapana kama vile mapambano, propaganda n.k
2. Huimbwa katika shughuli au miktadha ya kisiasa.
3. Huonyesha hali ya mwenye nguvu kumwonea mnyonge.
4. Huburudisha hutumbuiza na kustarehesha watu katika shughuli za kisiasa au za kitaifa.
5. Hutumiwa kuwatuliza na kuliwaza wahasiriwa wa migogoro ya kisiasa.
kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:35


Next: Ni madhumuni gani yanayonuwiwa wakati nyiso zinaimbwa?
Previous: Nyimbo za kisiasa zinanuwia kutimiza malengo gani?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions