Jadili nyimbo za sifa/sifo

      

Jadili nyimbo za sifa/sifo.

  

Answers


kelvin
Nyimbo za sifa pia huitwa sifo.ni nyimbo ambazo hutoa sifa za mtu fulani, sifo husifu michango na mafanikio ya watu katika jamii ni muhimu kutaja kuwa nyiso, mbolezi na nyimbo za arusi hutumiwa kama sifo.
kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:37


Next: Nyimbo za kisiasa zinanuwia kutimiza malengo gani?
Previous: Taja sifa zozote mahususi za nyimbo za sifo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions