Eleza maana ya hodiya huku ukieleza huimbwa wakati upi

      

Eleza maana ya hodiya huku ukieleza huimbwa wakati upi.

  

Answers


kelvin
Nyimbo za kazi pia huitwa hodiya, ni nyimbo zinazoimbwa na watu wanapofanya kazi huwa kama kihamasishaji kwa wanaoifanya kazi fulani au zinaonyesha mazingira yao ya kazi, hofu zao shida zao, matumaini na ndoto zao.
kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:41


Next: Orodhesha madhumuni ya kuimba nyimbo za sifa
Previous: Taja sifa kabambe za hodiya

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions