Taja sifa kabambe za hodiya

      

Taja sifa kabambe za hodiya.

  

Answers


kelvin
1. Maneno ya nyimbo hizi huwa ni ya kuhimiza.
2. Urefu wake hutegemea kazi na vifungu fulani vinaweza kurudiwarudiwa.
3. Mdudo hutegemea kazi inayofanywa, iwapo kazi itafanywa kwa utaratibu mdundo utafuata hali hiyo.
4. Huimbwa wakati watu wanapofanya kazi kila aina ya kazi ina hodiya yake, kwa mfano; wawe /vave ni nyimbo za wakulima. Kimai ni nyimbo zinazohusishwa na ubaharia.
5. Huimbwa na kundi la wafanyakazi au mtu mmoja wakati anapofanya kazi yake binafsi
6. Nyimbo hazihusishi ngoma kwa kuwa watu wote walishiriki kazi.

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:42


Next: Eleza maana ya hodiya huku ukieleza huimbwa wakati upi
Previous: Watu wanaoimba hodiya hunuwia kutimiza lengo lipi?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions