Nyimbo za chekechea zina sifa zipi?

      

Nyimbo za chekechea zina sifa zipi?

  

Answers


kelvin
1. Huimbwa na watoto wakati wa kucheza ili kuifanya michezo ipendeze,au wanapofanya shughuli zao za kitoto.
2. Huwa na matumizi ya takriri kwa kiasi kikubwa
3. Ni maarufu katika shule za malezi kama vile chekechea
4. Watoto hufunzwa na kuimba nyimbo hizi
5. Maudhui yake hutegemea aina ya mchezo na jamii husika
6. Lugha yake ni sahili au nyepesi
7. Aghalabu huwa fupi
8. Huandamana na miondoko kwa kiasi kikubwa

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:49


Next: Jadili nyimbo za mapenzi huku ukitoa sifa zake
Previous: Jadili maana ya jadiya/jadiia

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions