Jadili maana ya jadiya/jadiia

      

Jadili maana ya jadiya/jadiia.

  

Answers


kelvin
Ni nyimbo za kitamaduni ambazo huimbwa na kupokezwa kwa mdomo kutoka kizazi kimoja hadi kingine, kila jamii ina jadia zipokezwazo kwa vizazi vyake kimaudhui, nyimbo hizi husimulia mambo mengi hasa yaliyotukia katika historia ya jamii kama vile matendo ya shujaa fulani, mateso, njaa na ucheshi.
kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:51


Next: Nyimbo za chekechea zina sifa zipi?
Previous: Nyimbo za usasi ni nyimbo zipi?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions