Eleza maana ya maghani

      

Eleza maana ya maghani.

  

Answers


kelvin
Ni ushairi ambao hutolewa kwa kalmia (nusu kuimba nusu kuongea kama afanyavyo padre) badala ya kuimbwa tofauti kati ya maghani na nyimbo ni kuwa maghani hayaimbwi, hata hivyo kimaudhui maghani ni sawa na nyimbo kama za kazi, maombolezi au siasa; kama ilivyo katika nyimbo.
kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:56


Next: Nyimbo za vita huimbwa na nani?
Previous: Taja sifa tano za maghani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions