Taja sifa tano za maghani

      

taja sifa tano za maghani.

  

Answers


kelvin
a) Ni fungu za kishairi, yaani yana sifa za kishairi za kuwa na mapigo ya kimuziki na maneno mateule yenye muwala (mtiririko) mzuri wa mawazo
b) Husimulia matukio kwa kirefu hasa yanayotambwa
c) Hutungwa papo hapo na kusemwa au kutongolewa mbele ya hadhira.
d) Hutungwa kwa ufundi mkubwa
e) Hutolewa na mtu mmoja au kundi la watu

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:57


Next: Eleza maana ya maghani
Previous: Maghani yana umuhimu gani katika jamii?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions