Maghani yana umuhimu gani katika jamii?

      

Maghani yana umuhimu gani katika jamii?

  

Answers


kelvin
a) Kuchochea wanotaka kuwa shujaa
b) Kutoa sifa nzuri za kuigwa au kutumiwa kukosewa
c) Kuelezea usuli wa mtu, asili au nasaba ya mtu kitu jambo au familia.
d) Kudhihirisha uhodari wa kutenda

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:58


Next: Taja sifa tano za maghani
Previous: Eleza maghani ya kawaida

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions