Eleza maghani ya kawaida

      

Eleza maghani ya kawaida

  

Answers


kelvin
Maghani ya kawaida ni tungo za kishairi ambazo hutongolewa kuhusu maswala ya kawaida, njaa, mapenzi, masikitiko, kazi, majonzi, dini hughaniwa tu.

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 13:01


Next: Maghani yana umuhimu gani katika jamii?
Previous: Eleza maana ya rara huku ukitoa sifa zake tano

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions