Eleza maana ya rara huku ukitoa sifa zake tano

      

Eleza maana ya rara huku ukitoa sifa zake tano.

  

Answers


kelvin
Ni hadithi fupi nyepesi za kishairi ambazo husisimua
Sifa
• Huweza kuandamana na ala za muziki.
• Nyingi zilihusu koo tukufu/zilizotajika.
• Hutolea kwa ...ya huzuni /kitanzia.
• Masuala hufumbua na kudokezwa tu.
• Lugha hujaa utendaji wa matukio.
• Hushughulikia maswala ya kawaida na ibuka kwa mtindo usio rasmi.
• Huwa na ucheshi wenye kinaya

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 13:02


Next: Eleza maghani ya kawaida
Previous: Eleza maana ya maghani simulizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions