Eleza maana ya maghani simulizi

      

Eleza maana ya maghani simulizi

  

Answers


kelvin
Maghani ya kihadithi yanayosimulia sifa za mtu, kitu, mnyama, historia au tukio fulani.
Hutolewa na kuambatana na muziki pamoja na ala k.m zeze, marimba, njuga. Mtambaji wa maghani huitwa yeli/manju. Kwa kawaida, yeye huwa bingwa wa kupiga ala aina fulani ya muziki.

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 13:03


Next: Eleza maana ya rara huku ukitoa sifa zake tano
Previous: Eleza maana ya majigambo/vivugo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions