Eleza maana ya majigambo/vivugo

      

Eleza maana ya majigambo/vivugo.

  

Answers


kelvin
Tungo za kujisifu, kujitapa au kujigamba anayejigamba huwa mwanasanaa (mshairi) anayeelewa kwa undani analozungumzia
kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 13:11


Next: Eleza maana ya maghani simulizi
Previous: Today, electronic mail (e-mail) is used as a means of communication. Describe 3 advantages and 1 disadvantage of using e-mail.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions