TAMTHILIA YA MSTAHIKI MEYA “Unaona sasa?Mlinidanganya.”Kauli hii ni idhibati tosha kuwa,Mstahiki Meya alidanganyika na kuongozwa na falsafa zisizo na mashiko katika uongozi wake.Tetea ukweli huu. (alama 20)

      

TAMTHILIA YA MSTAHIKI MEYA
“Unaona sasa?Mlinidanganya.”Kauli hii ni idhibati tosha kuwa,Mstahiki Meya
alidanganyika na kuongozwa na falsafa zisizo na mashiko katika uongozi wake.Tetea ukweli
huu. (alama 20)

  

Answers


Peter
(i) Alidanganyika kuwa,vikosi vya usalama vingeweza kukabiliana na alivyodahi Diwani 1.Matokeo ni maji kuzidi unga na hali ikawa haidhibitiki tena.
(ii) Meya alidanganyika kuwa,kwa kuazisha tamasha za kushindania zawadi,hili lingeamsha uzalendo wao.Jambo hili halikuweza kuamsha uzalendo kwani wananchi walikuwa na matatizo ambayo hayakusuluhisha.
(iii) Meya alidanganyika kuwa,kuwateua asilimia sabini ya madiwani kungeleta ugwaji mkono.
(iv) Meyaalidanganyika kuwa kuwaongezea mishahara walinda usalama kungefanya wawe na moyo wa kutenda kazi na kuwa wazalendo
(v) Meya alidanganyiko kuwa aliungwa mkono na wengi
(vi) Meya alidanganyika kuwa baraza lake ndilo lenye udhabiti mkubwa
(vii) Meya alidanganyika kuwa,kwa kuanzisha tamasha za vijana kushindania zawadi ili kuonyesha uzalendo.Jambo hili halikuhimarisha uzalendo
(viii) Meya alidanganyika kuwa,cheneo kuna amani na utulivu ulioletwa watu wenyewe kutopenda matata.Ukweli ni kwamba amani ilikosekana cheneo na mji ukawa haukaliki kwa fujo na mapambano ya waandamanaji na polisi
(ix) Meya alidanganyika kuwa,kutishia kuwafuta wafanyakazi waliogoma kungewafanya kohofia kupoteza kazi na hivyo waache kugoma.
(x) Meya alijiambia kuwa wanafuata malengo ya millennia.Haya ni malengo ambayo hayakuifaidi.

Musyoxx answered the question on July 25, 2018 at 14:06


Next: TAMTHILIA YA MSTAHIKI MEYA “Najua ni kazi ila usisahau pia kwamba wafanyikazi wamegoma.” (i) Fafanua muktadha wa dondoo hili. (alama 4) ...
Previous: Linganisha fasihi simulizi na fasihi andishi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions