Linganisha fasihi simulizi na fasihi andishi

      

Linganisha fasihi simulizi na fasihi andishi

  

Answers


Peter
• Zote mbili zina tanzu mbili kuu ambazo ni fani na maudhui
• Zote huwa na dhima sawa kwa mfano kuelimisha jamii
• Zpote huburudisha
• Zote huwa na fanani na hadhira
• Huzaliwa, hukua na hata kufa kutegemea mabadiliko ya wakati.
• Zote zinaweza kukashifiwa na wasanii mbalimbali ikiwa hawajaridhishwa na mbinu za lugha zilizotumika.

Musyoxx answered the question on July 25, 2018 at 14:08


Next: TAMTHILIA YA MSTAHIKI MEYA “Unaona sasa?Mlinidanganya.”Kauli hii ni idhibati tosha kuwa,Mstahiki Meya alidanganyika na kuongozwa na falsafa zisizo na mashiko katika uongozi wake.Tetea ukweli huu. (alama 20)
Previous: Mtafiti huenda akapatwa na changamoto nyanjani, fafanua.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions