Mtafiti huenda akapatwa na changamoto nyanjani, fafanua.

      

Mtafiti huenda akapatwa na changamoto nyanjani, fafanua.

  

Answers


Peter
• Gharama ya utafiti - Huenda akakosa pesa za kusafiria au hata kununulia vifaa.
• Kutokana na mtazamo hasi wa jamii, huenda wakakosa kujaza hojaji
• Huenda akashukiwa kuwa mpelelezi na wakakataa kutoa habari
• Mtafiti huenda akatatizika iwapo wahojiwa watadai kulipwa
• Mtafiti huenda akajipata katika vizingiti vya kidini na hivyo akakosa kupata taarifa.
• Vifaa vya kazi huenda vikapotea au hata kuharibika
• Uchache wa wataalamu wa kazi za fasihi simulizi na hivyo mtafitikukosa taarifa muhimu
• Ukosefu wa wakati wa kutosha kuwahoji watu wengi
• Ukosefu wa usalama

Musyoxx answered the question on July 25, 2018 at 14:11


Next: Linganisha fasihi simulizi na fasihi andishi
Previous: Outline the role played by independent churches to nationalism between the first and second world wars in Kenya

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions