Eleza sifa tano za lugha ya taifa

      

Eleza sifa tano za lugha ya taifa

  

Answers


martin
hueleweka na taifa husika
inakubalika katika biashara
inaeleweka na watu wengi katika taifa
hutumika katika ofisi nyingi kwenye taifa husika
hutumika kwenye mikutano

jeymartinsmartoh answered the question on August 7, 2018 at 10:40


Next: Impacts of first world war on educational development in Kenya
Previous: Describe the conduct of elections in Kenya

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions