Eleza maana ya usemi halisi na usemi taarifa

      

Eleza maana ya usemi halisi na usemi taarifa

  

Answers


ambrose
usemi halisi- ni maneno yanayozungumuzwa moja kwa moja na mnenaji.Kwa kawaida huwa katika wakati uliopo na pia alama za nukuu. Kwa mfano , ''kesho tutaenda Mombasa,'' baba alisema.
Usemi wa taarifa- Ni uasilishaji wa maneno yaliyosemwa na mtu mwaingine.Mara nyingi alama za nukuu hazitumiki. wakati uliopita hutumika. Mfano Baba alisema kuwa siku iliyofuata wangeenda Mombasa.
jumason answered the question on August 2, 2018 at 08:44


Next: Describe the conduct of elections in Kenya
Previous: With consideration of diameter of each category analyse types of soil according to texture

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions