Eleza mbinu ya kinaya katika tamthilia ya Kigogo

      

Eleza mbinu ya kinaya katika tamthilia ya Kigogo

  

Answers


Sheldon
Wananchi wa Sagamoyo wanalipa kodi ili kustawisha maendeleo ya Sagamoyo.
Katika enzi za ukoloni mashujaa walijitolea mhanga wakahatarisha maisha yao na hata kufa ili wapate uhuru.
Wimbo unaoimbwa ni wa uzalendo kuonyesha Sagamoyo wanaipenda jimbo lao.
Sudi anaelewa kua uongozi wa majoka haufai.
Tunu ni mzalendo katika taifa lake anasema jukumu lake ni kulinda uhai, haki na uhuru, amejitolea kwa vyovyote vile kutetea haki.
Tunu anawahutubia wanaume na kuwaarifu hali ilivyo Sagamoyo kwa kuwa pesa za kusafisha soko zimefujwa.
Tunu anamkabili Majoka kwa uovu wake na kumwambia wazi kuwa atamlipa kila tone la damu alilomwaga.
Tunu anamkashifu mwanaume kwa kuuza pombe haramu kwa vile ni kinyume na sheria.
Tunu anatetea maslahi ya wanyonge.
Sheldon Alvin answered the question on September 11, 2018 at 16:56


Next: Explain five sources of public finance
Previous: Highlight the techniques of assessing children in ECDE

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions