Eleza maana ya tondozi

      

Eleza maana ya tondozi

  

Answers


KELVIN
Ni tungo ambazo hughanwa kumsifu mtu, mnyama au kitu k.m milima, kijiji, nchi au kitu chochote ambacho huweza kusifiwa.
Tondozi za watu husifu watu mashuhuri, wapenzi, marafki, watani, wake, waume, watoto au adui zao.Wanyama na vitu ambavyo hutungiwa tondozi aghalabu ni mifugo, wanyama wa porini na miti mikubwa, vitu na wanyama hawa hupewa sifa kistiara, zikikusudiwa binadamu.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:08


Next: Majigambo yana umuhimu gani katika jamii
Previous: Fafanua maana ya pembeziji

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions