Fafanua maana ya pembeziji

      

Fafanua maana ya pembeziji.

  

Answers


KELVIN
Ni aina ya tondozi inayotolewa kusifu watu fulani pekee, kwa kawaida, husifu watu wenye kujipambanua kwa matendo yao ya kishujaa na kujitolea kwao, hutungiwa watu kama:
? Watawala /viongozi.
? Walezi wazuri.
? Mashujaa wa vita.
? Waganga mashahuri.
? Wapenzi waliopigania pendo lao.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:09


Next: Eleza maana ya tondozi
Previous: Semi huwa na malengo yepi katika jamii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions