Huku ukitolea mifano eleza maana ya sitiari

      

Huku ukitolea mifano eleza maana ya sitiari

  

Answers


KELVIN
Sitiari ni mbinu ya kulinganisha kitu na kingine bila kutummia maneno ya kulinganisha, methali zinazoundwa kwa sitiari ni pamoja na:
a. Mgeni ni kuku mweupe, hapo mgeni anafananishwa moja kwa moja na kuku mweupe kuonyesha mgeni hutambulika haraka akiwa kundini.
b. Ahadi ni deni, ahadi inafananishwa na deni kuonyesha kuwa ni sharti mtu kutimiza ahadi.


kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:20


Next: Methali yaweza kuanishwa vipande tofauti. Eleza
Previous: Kwa kutolea mifano, eleza maana ya takriri

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions