Kwa kutolea mifano, eleza maana ya takriri

      

kwa kutolea mifano, eleza maana ya takriri

  

Answers


KELVIN
Takriri ni mbinu ya kurudiarudia maneno au sauti kwa nia ya kusisitiza methali zenye takriri ni kama vile;
i) Ngoja ngoja huumiza matumbo.
ii) Haba na haba hujaza kibaba.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:21


Next: Huku ukitolea mifano eleza maana ya sitiari
Previous: Eleza maana ya tashbihi huku ukitolea mifano

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions