Eleza maana ya tashbihi huku ukitolea mifano

      

Eleza maana ya tashbihi huku ukitolea mifano.

  

Answers


KELVIN
Tashbihi ni tamathali ya usemi na inayo linganisha vitu kwa kutumia maneno ya kulinganisha kwa mfano:
i. Kawaida ni kama sheria.
ii. Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:22


Next: Kwa kutolea mifano, eleza maana ya takriri
Previous: Fafanua maana ya tanakali za sauti

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions