Fafanua maana ya tanakali za sauti

      

Fafanua maana ya tanakali za sauti.

  

Answers


KELVIN
Hizi ni miigo ya sauti zinazotolewa na kitu au zinazotokea tendo linapotendeka methali zinazotumia tanakali za sauti ni kama vile
i. Chururu si ndo ndo ndo!

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:23


Next: Eleza maana ya tashbihi huku ukitolea mifano
Previous: Taswira ni nini?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions