Taswira ni nini?

      

Taswira ni nini?

  

Answers


KELVIN
Taswira ni picha zinazojengeka akilini mwa mtu baada ya kusoma, kutazama au kusikia maelezo fulani. Taswira hizi hutokana na tajriba pamoja na mazingira ya mtu ifuatayo ni mifano ya methali zinazotumia taswira.
i. Mti mkuu ukigwa wana wa ndege huyumba.
ii. Mpanda farasi wawili hupasuka msamba

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:24


Next: Fafanua maana ya tanakali za sauti
Previous: Eleza maana ya kweli kinzani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions