Eleza maana ya kweli kinzani

      

Eleza maana ya kweli kinzani

  

Answers


KELVIN
Katika kweli kinzani, maana ya maneno hukinzana kijuujuu (husikika kuwa haiwezekani) lakini ikichunguzwa kwa undani kuna ukweli fulani uliofichika, ifuatayo ni mifano ya methali zinazotumia ukinzani.
a. Wagombanao ndio wapatanao.
b. Ukipigao ndio ukufunzao.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:24


Next: Taswira ni nini?
Previous: Kwa kutolea mifano eleza maana ya chuku

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions