Kwa kutolea mifano eleza maana ya chuku

      

Kwa kutolea mifano eleza maana ya chuku

  

Answers


KELVIN
Chuku ni mbinu ya kuongezea sifa kitu zaidi ya kilivyo, mifano ya methali zinazotumia mbinu hii ni:
a. Usipoziba ufa utajenga ukuta.
b. Mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:26


Next: Eleza maana ya kweli kinzani
Previous: Eleza maana ya ishara kama mbinu ya lugha katika fasihi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions