Eleza maana ya ishara kama mbinu ya lugha katika fasihi

      

Eleza maana ya ishara kama mbinu ya lugha katika fasihi.

  

Answers


KELVIN
Katika taashira, kitu kimoja huashiria kingine. Mifano ya methali zenye taashira.
i. Kimya kingi kina mshindo mkuu.
ii. Kuku mgeni hakosi kamba mguuni.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:27


Next: Kwa kutolea mifano eleza maana ya chuku
Previous: Dhihaka au stihizaji ni mbinu gani ya lugha katika fasihi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions