Dhihaka au stihizaji ni mbinu gani ya lugha katika fasihi

      

Dhihaka au stihizaji ni mbinu gani ya lugha katika fasihi.

  

Answers


KELVIN
Hii ni mbinu ya kufanya mzaha au kudharau tabia au mienendo isiyofaa, kwa mfano.
i. Hawi musa kwa kuchukua fimbo.
ii. Ucha mungu si kilemba cheupe.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:29


Next: Eleza maana ya ishara kama mbinu ya lugha katika fasihi
Previous: Eleza maana ya tashihisi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions