Eleza maana ya tashihisi

      

Eleza maana ya tashihisi.

  

Answers


KELVIN
Tashihisi ni mbinu ya kukipa kitu sifa za kibinadamu au kitu kisicho hai kupewa sifa za kitu kilicho hai
mfano
i) Adhabu ya kaburi aijuaye ni maiti.
ii) Siri ya mtungi aijuaye kata.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 16:30


Next: Dhihaka au stihizaji ni mbinu gani ya lugha katika fasihi
Previous: Eleza maana ya balagha huku ukitolea methali mbili kudhihirisha mbinu hii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions